Sustainable development Mambo-Mtae-Lushoto Usambara Mountains Tanzania
         
    MamboSteunPunt                                                 
           nl_flag  gbflag
Home  Projects  Realized   Links  Sponsors  Ambassadors Contact
Mambo AmbassadorsAustria Australia Canada Netherlands Sweden Switzerland Tanzania USA

MamboSteunPunt in Tanzania

Ukiwa unasafiri kutoka Lushoto  kwenye milima  ya Usambara yenye mandhari mbalimbali, njia za asili zinazozunguka milima navijiji vilivyoko juu ya vilima hutategemea  kukuta pepo ndogo kama MVP. Utafurahia mandhari  mbalimbali, mapumziko yako,ama shughuli yeyote itakayokufanya usisahau  safari yako.

 
Mambo
Mambo ni kijiji chenye wastani wa wakazi 5000 wenye kipato chini ya dola moja ya Kimarekani kwa siku.  Maendeleo yanahitajika katika nyanja mbalimbali. MVP inachangia kwa maendeleo ya sehemu husika.
 
ViewPoint
Hoteli ipo kwenye mwinuko  wa meta 1900 juu ya usawa wa bahari mahali ambapo unaweza kufurahia mandhari za milima ya Upare, Mbuga ya Taifa Mkomazi na Mlima Kilimanjaro mrefu kuliko yote Africa. Vilevile  ViePoint inamaanisha mtizamo wa kazi tunazofanya.
MamboViewPoint
contact: MamboViewPoint
tel +255 78 527 2150
send an email to MamboViewPoint

www.MamboViewPoint.org
 

 

contact: MamboViewPoint
tel +255 78 527 2150
send an email to MamboViewPoint
MamboSteunPunt  Mambo/Mtae/Lushoto Tanzania                                                                               Home    AboutUs    Contact